Monday, September 15, 2014
 |
| Hii ndio habari ya mujini, haya kama ulikuwa
hujui basi chukua hii, designer mkubwa wa
nguo Tanzania ameamua kufunguka kupitia
mtandao wako wa jamii wa makubwa haya
blog yakuwa yeye gari kwake sio ki2, kwa
kudhihirisha hilo ameamua kununua saa
inayoitwa TAGHEURE yenye thamani ya $9800
ambayo ni sawa sawa na milion 14 za
kitanzania na hii ndio kauli aliyoitoa designer
martin kadinda kutokana na
saa hiyo....Yeeeeeeeeees I finaly own one….
#TAGHeuer #GrandCarrera watch….. U own
fancy car I own this Watch……. Google it if u
dont mind.. Its all about uamuzi,design n
fashion..big up kwa martin kadinda coz u
have done something different in the industry
of Tanzania keep it up jamany u really
desearve to be congratulated.. |
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment