Monday, September 29, 2014

TAZAMA PICHA ZA GARI DIAMOND ALILOMZAWADIA WEMA SEPETU

Haya ni maneno aliyoandika Diamond platnumz Nlitamani nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby.

PICHA NA DJ SEK

0 comments:

Post a Comment