Tuesday, September 30, 2014
 |
| Diamond..Mh! Upepo mbaya unaivumia
kapo ya mafahari wawili Bongo, Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ ambapo wanadaiwa
kufanyiana ‘taimingi’ ya kumwagana,
‘ubuyu’ kamili huu hapa.Staa wa filamu
Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’.Kwa
mujibu wa mnyetishaji wetu makini, wawili
hao wamepotezeana kwa muda mrefu
huku kila mmoja akifanya yake lakini kila
mmoja anashindwa kujitoa mhanga na
kusema hawapo pamoja akihofia
kuonekana ndiye tatizo. “Kifupi ni kwamba
Wema na Diamond hawapo pamoja kwa
kipindi kirefu, yawezekana wanawasiliana
lakini si kwa mapenzi labda kwa mambo
mengine. Diamond anazuga kama yuko
kwenye shoo, hata akirudi Bongo hawana
ukaribu na Wema kama ilivyokuwa
zamani, anazuga kidogo kisha anaondoka
tena. |
 |
| Mkali wa Bongo Fleva, Diamond
Platinum.“Wema naye hivyohivyo, yupo
bize na mambo yake, inasemekana yupo na
kigogo f’lani hivi Mkongomani ndiye
anampa jeuri mjini kama ulivyoona
juzikati amemwaga mapesa ukumbini.
“Inasemekana Mkongomani huyo
amemfungulia pia ofisi mpya ya kurekodia
filamu pamoja na kumnunulia gari jipya,”
kilidai chanzo hicho. |
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI=>
0 comments:
Post a Comment