Monday, September 15, 2014
 |
| Huyu ndio mtuhumiwa.
Alifika Nyumbani na kumlaghai mtoto
Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle
Akamvuta mpaka vichakani na kutaka
kuanza kumlawiti. Mtoto alipoona hivyo
akaanza kup iga kelele na kupambana
na mtuhumiwa.
Muasi alikuwa taya ri ameshavua nguo,
alipoona mtoto anapiga kelele akaanza
kumng'ata na meno mashavuni na
kump iga na j iwe kwenye paji la uso.
Bahati nzuri, MUNGU sa i dia, kuna mama
alikuwa anashusha matofali akaskia
kelele hizo kabla ya tendo baya
kufanyika. Akaita watu wakamkuta
mtuhumiwa akiwa anaendelea kujaribu
kumlawiti mtoto huyo wa kiume.
Alifanikiwa kumwaga haja zake tu, ila
hakufanikiwa kumuingia kimwili.
Watu wenye hasira walimpa adhabu yake
na yeye, kabla Police hawajafika na
kumtia mbaroni..
Inasemekana kuwa mtuhumiwa huyu
ndio tabia yake, ila hii ndio ilikuwa
arobaini yake. Mitaa ya Mbezi ya Kimara,
amezunguka sana kuharibu watoto wa
watu.
Kila Nyumba akifika anauliza baba na
mama wapo?? akiambiwa tu hawapo
anaanza shughuli zake.H ivi sasa yuko
Hospitali ya TUMBI mahututi, akingojea
kusomewa mashtaka |
soma zaid hapa
Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment