![]() |
| Angelina Jolie alibidi afute tattoo ya mpenzi wake wa awali Billy Bob aliyoichora wakati wako pamoja. |
![]() |
| 50 Cent kashazoea kufutwa na kuchora tattoo zingine kwenye maisha yake. Akiwa na jambo jipya huongeza tatto anavyo jiskia. |
![]() |
| Baada ya kuachana na mke wake Jennifer Lopez, Mac Anthony alibidi afunike tattoo ya jina la Jennifer na kitu kingine. Aliogopa maumivu ya kufuta. |
![]() |
| Huyu ni mwigizaji Matt" Damon alijichora tattoo kabla hajawa B list Super Star wa filamu marekani na kuamua kuifuta ili kujenga heshima zaidi. |
![]() |
| Jamaa aliweka midomo ya rapper Trina kwenye shingo yake wakati wako pamoja na baada ya kuachana nae alibidi afute tattoo, Maumivu yake sasa. |












0 comments:
Post a Comment