Rapper Darassa ameamua kusafiri hadi mkoani Singida kwenye kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Sio Mbaya’. Darassa ameiambia jombitz kuwa ameamua kwenda kufanya video hiyo Singida ili kupata mazingira tofauti.
“Ninataka tu kufanya kitu tofauti na sisi kama Classic Music tukafikiria sehemu bora zaidi ya kufanya hivi ni Singida kwasababu tulitembea sehemu nyingi before kuangalia sehemu gani inaweza kutufaa na tukapenda mazingira ya Singida,” amesema.
Rapper huyo ameongozana na muongozaji wa video hiyo anayedai kuwa ni mpya aitwaye Hans Cana. BONYEZA HAPA UONE
by festo saimon phone 0657035125
0 comments:
Post a Comment