Sunday, July 06, 2014

Picha 5 za mjengo na magari anayomiliki Proffesa jay

Nyumba ipo mbezi kimara
Mjengo mpya wa msanii mkongwe proffesa jay
Inapendeza eeeh

Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana NA shughuli zake za muz


UKIONA TUKIO LOLOTE USISITE KUTUTUMIA PICHA WHATSAPP NO:06570352125 Festo saimon

0 comments:

Post a Comment