Tuesday, July 01, 2014

REGINA MWALEKWA AJIUNGA NA BBC LONDON

Mtangazaji wa Radio na Televisheni wa Clouds Media , Regina Mwalekwa , amejiunga na BBC London . Mtangazaji huyo leo ameaga rasmi wafanyakazi wenzake wa Clouds tayari kuelekea London, Uingereza. BONYEZA HAPA HUONE 


by festo saimon phone 0657035125

0 comments:

Post a Comment